Usiku huu wa Jumanne ndani ukumbi wa COCO BEACH kundi zima la MAPACHA ambalo linaundwa na wanamuziki vijana kama vile JOSE MARA, KHALID CHOKORAA na KALAA JUNIOR walifanya 'Vurugu' kama kawaida yao na kukonga nyoyo za wadau wa muziki na hapa kikosi kizima cha unenguaji kikifanya makamuzi ya Kufa 'NGEDERE' kama sio mtu daah, kwakweli vijana wanajitahidi sanaa...
No comments:
Post a Comment