Friday, January 14, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Hawa ni FANS wangu tu jamani, kushoto ni NEY SWAI tukishoo love....

Nikiwa na rafiki zangu, katikati ni mshambuliaji wa YANGA na Taifa Starz JERRY TEGETE na kushoto ni kiungo wa Yanga RAZACK KHALFAN tukipata kilaji kwa chaatiiii...

Mtangazaji wa Power Breakfast pale Clouds Fm GERALD HANDO akishoo love na Ripota wa zamani wa Itv ESHI MUSHI...

Mimi na MAIMARTHA tukiwa na mkongwe wa Filamu Bonge Mzee 'CHILLO'

No comments:

Website counter