Anaitwa ALEXANDRE DIMITRI SONG BILLONG aliyezaliwa uko Douala nchini Cameroon Tar 9 sep 1987, kama ni kweli lakini maana nishawazoea watu wa magharibi kupunguza umri looh! Kijana huyu alimpoteza Babake akiwa na umri wa miaka 3 na ndipo mjomba wake ambaye ni Beki na nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya nchi hiyo RIGOBERT SONG kuamua kumchukua na kumlea kama Baba mlezi. Huwezi kuamini huyu Alex hajacheza soka kwao Cameroon ila mjomba wake alipohamia France alimpeleka kwenye timu ya watoto ya Bastia na hap;o ndio safari ilianzia hapo mpaka unavyomwona sasa akiwa ni kiungo 'mkabaji' wa Arsenal. Huwezi amini yeye na mjomba wake wanavuta sana Bangi na niliwashuhudia mwenyewe kwa macho yangu wakihangaika kumtuma m2 akawanunulie Bangi pale Posta walipokuwa wamefikia katika Hotel ya New Africa na Timu ya Taifa ya Cameroon ilipozuru nchini.Kingine huyu kijana ameoa akiwa na umri mdogo wa miaka 18 na tayari amejaaliwa watoto 2 na mkubwa ana miaka miwili aitwae NOLAN.
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Saturday, December 18, 2010
WATAKA KUMJUA ALEX SONG BILONG? SOMA APA CHINI...
Anaitwa ALEXANDRE DIMITRI SONG BILLONG aliyezaliwa uko Douala nchini Cameroon Tar 9 sep 1987, kama ni kweli lakini maana nishawazoea watu wa magharibi kupunguza umri looh! Kijana huyu alimpoteza Babake akiwa na umri wa miaka 3 na ndipo mjomba wake ambaye ni Beki na nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya nchi hiyo RIGOBERT SONG kuamua kumchukua na kumlea kama Baba mlezi. Huwezi kuamini huyu Alex hajacheza soka kwao Cameroon ila mjomba wake alipohamia France alimpeleka kwenye timu ya watoto ya Bastia na hap;o ndio safari ilianzia hapo mpaka unavyomwona sasa akiwa ni kiungo 'mkabaji' wa Arsenal. Huwezi amini yeye na mjomba wake wanavuta sana Bangi na niliwashuhudia mwenyewe kwa macho yangu wakihangaika kumtuma m2 akawanunulie Bangi pale Posta walipokuwa wamefikia katika Hotel ya New Africa na Timu ya Taifa ya Cameroon ilipozuru nchini.Kingine huyu kijana ameoa akiwa na umri mdogo wa miaka 18 na tayari amejaaliwa watoto 2 na mkubwa ana miaka miwili aitwae NOLAN.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment