Mwili wa mwanamuziki mkongwe wa Dansi na aliyekuwa katibu wa bendi ya Twanga Pepeta ABOU SEMHANDO aka 'Baba Diana' unatarajiwa kusafirishwa leo Jumamosi alfajiri kupelekwa kijijini kwake Muheza mkoani Tanga kwa mazishi iyo kesho mapema na ivi sasa ndio zinafanyika taratibu za kuutayarisha mwili huo apa kwenye Hospital ya MUHIMBILI jijini, na bendi ya TWANGA PEPETA imesimamisha maonesho yake kwa wiki 2 ili kuomboleza msiba huo mzito uliowakumba! Buriani 'BABA DIANA' daima ntakukumbuka jinsi ulivyokuwa mwingi wa utani na haswa ulivyokuwa unanipigia simu kila mara ulipokuwa una hamu ya kula 'FIRIGISI' za kuku kwenye Pub yangu pale nyuma ya Mango Garden Kinondoni Dar na kuniuliza 'We Ben usintanie vipi apo Kinyaiya Pub firigisi zipo au zimeisha? Mungu akulaze pema peponi Baba Diana maana laiti ungefungua jicho japo kwa dakika moja ndipo ungeona wanamuziki wako wanavyokulilia apa sasaivi ndio ungeamini ni kiasi hani watakumic...
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Saturday, December 18, 2010
MWILI WA BABA DIANA KUSAFIRISHWA KWENDA MUHEZA TANGA ALFAJIRI YA LEO KWA MAZISHI...
Mwili wa mwanamuziki mkongwe wa Dansi na aliyekuwa katibu wa bendi ya Twanga Pepeta ABOU SEMHANDO aka 'Baba Diana' unatarajiwa kusafirishwa leo Jumamosi alfajiri kupelekwa kijijini kwake Muheza mkoani Tanga kwa mazishi iyo kesho mapema na ivi sasa ndio zinafanyika taratibu za kuutayarisha mwili huo apa kwenye Hospital ya MUHIMBILI jijini, na bendi ya TWANGA PEPETA imesimamisha maonesho yake kwa wiki 2 ili kuomboleza msiba huo mzito uliowakumba! Buriani 'BABA DIANA' daima ntakukumbuka jinsi ulivyokuwa mwingi wa utani na haswa ulivyokuwa unanipigia simu kila mara ulipokuwa una hamu ya kula 'FIRIGISI' za kuku kwenye Pub yangu pale nyuma ya Mango Garden Kinondoni Dar na kuniuliza 'We Ben usintanie vipi apo Kinyaiya Pub firigisi zipo au zimeisha? Mungu akulaze pema peponi Baba Diana maana laiti ungefungua jicho japo kwa dakika moja ndipo ungeona wanamuziki wako wanavyokulilia apa sasaivi ndio ungeamini ni kiasi hani watakumic...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment