Sunday, December 19, 2010

MMMH JAMANI HAYA MAJINA MENGINE LOOH...


Inabidi wakuu wa 'Body' za vyuo mbalimbali wanapokaa kutunga majina ya Vyuo mbalimbali wawe wanaangalia pia maana ya majina wanayovipa vyuo vyao kwa lugha zoote kuu Duniani ili kuepusha 'fedheha' laa sivyo babako akikuuliza unasoma chuo gani apo juu utajibuje duuh...

1 comment:

Anonymous said...

Inatamkwa "Maleya" sio kama ilivyo andikwa. Beside hiyo nchi ilikua ikiitwa hivyo kabla ya kutengana na Singapore@ Ben

Website counter