Friday, December 31, 2010

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yeeaaah nikiwa na maswahiba zangu, kushoto ni MATONYA na katikati ni DULLY SYKES...

Aaah Sofia shortie, mkorofi uyo usipimee...

Na swahiba STEVE KANUMBA...

Jamani ni shabiki yangu 2 uyo, hamna lolote linaloendelea apo maana nawajua nyie 'Bin adamu' kwa mdomo looh...

Nikiwa na mwanamuziki kutoka Kenya WAHUU ambaye ni mke wa NAMELESS...

No comments:

Website counter