Friday, December 31, 2010

JAMANI UTAMADUNI HUU WA 'USHIRIKIANO' BADO UPO MPAKA SASA KWENYE JAMII YETU AU UMESHAKUFA...


Naamini huu ndio utamaduni wetu Waafrica wengi tangu enzi ya mababu zutu kwa kusgirikina kwa mambo mengi mpaka kwenye kilaji kama hivi, na ninakumbuka kabla Babu yangu hajafariki tulipoenda Holiday Bush kumtembelea niliwahi kumsikia akiwaarifu watu flani pale kijijini kwamba anawaomba kesho yake wakampe 'tafu' shambani kuvuna na haoa jamaa wakamkubalia bila kinyongo! Sasa nauliza je utamaduni huu wa kusaidia na bado upo uko vijijini kama zamani au ndio unaenda ukipotea na kila m2 kushika Hamsini zake?...

No comments:

Website counter