Kutokana na Familia ya marehemu Dk Remmy Ongala kutambua kwamba Mkongwe huyo ana marafiki wengi jana wameamua maiti yake ikaagwe pale katika viwanja vya Biafra Kinondoni leo alhamic kuanzia mishale ya saa 5 asubuhi ili kila m2 atakaekuja apate kutoa heshma zake za mwisho kwa mpendwa huyo kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele kwenye makaburi ya 'SINZA KWA REMMY', na watoto wake woote wanaoishi nje wameshawasili tangu jana tayari kwa mazishi ya baba yao!
No comments:
Post a Comment