Wednesday, December 8, 2010

BURIANI NICO BAMBAGA...


Nakumbuka enzi izo nikisikia jina lako likivuma kwa uhodari wako uwanjani na nilipata pia kukushuhudia ukichezea timu ya SIMBA, YANGA na Taifa Starz na kwa hakika wewe ni mmoja kati ya viungo wakabaji bora uwanjani ambao hawajawahi kutokea nchini tangu enzi ya kina Ramadhani Lenny! jana asubuhi umetutangulia kwa Mwenyezi mungu nasi yupo nyuma yako kaka, AMEIN.

No comments:

Website counter