Monday, November 8, 2010

MMMH AISEEEE....


Daaah namchukia huyu Tall CARROL wa NEWCASTLE bas 2! Wenye akili zenu mtajua ni kwanini namchukia...

3 comments:

Anonymous said...

Yaaap!!! haya sasa ni mazowea.Hivi huyu Wenger bado hajajifunza ule msemo wa Dont send the boys to do mens job? mwaka wa saba huu, hakuna trophy yoyote yakujivunia!!! bora pia muibadilishe hiyo ngao ya makombora,kwa sababu hayafyatui mizinga tena!! mwaka mwingine huu bado nyinyi ni kichwa cha taahira...au daipers zilijaa choo?

Anonymous said...

kwan Ben ni arsenal mwana, mi najua ni Man u damu au nakoseaaa....

Tupe jibu ben

Anonymous said...

Aaaah naona dogo hana msimamo,kwani alishaonekana pale white heart lane,East london kwenye makazi ya Tottenham Hotspurs akichekelea kisha akaonekana kwenye duka la Arsenal, halafu pale Stamford bridge, akishangila, kwenye makazi ya Chelsea!! It doesnt make a damn sense! ni kama vile miaka ya 80, ujaribu kuwa mpenzi wa Simba, Yanga na Pan.

Website counter