Saturday, November 6, 2010

HONGERA SANAA MHE. AMOS MAKALLA, 'MZEE WA MVOMERO'...


Nakupa Hongera sana ewe kaka yangu, swahiba wangu AMOS MAKALLA 'mzee wa Mvomero' kwa kuukwaa Ubunge wa jimbo hilo la MVOMERO Morogoro kwa tiketi ya CCM! Kwa hakika watu wa Mvomero wanakupenda sanaa na ndio maana ukashinda kwa Kishindo kikuu kwenye uchaguzi mkuu wa juzi...

Hapa nakumbuka sanaaa wakati nilipokuja kwako kule MVOMERO Morogoro kukuunga mkono kama si mguu kwenye kampeni zako kaka, na nimefurahi kwamba kampeni 'ZETU' zimejibu haa ahaaaaa...

No comments:

Website counter