Tuesday, November 2, 2010

HONGERA MZEE WA 'NJI HII'...


Kati ya watu ambao nimefurahi kurudi 'Mjengoni' ni huyu Bwana Mzee wa 'Kiraracha' AGUSTINO LYATONGA MREMA ambaye leo hii ametangazwa Rasmi kuwa Mbunge wa VUNJO mkoani Kilimanjaro! Najua kurudi kwake kutalichangamsha sana Bunge kwa Swagga zake za kufurahisha na kama hamuamini maneno yangu subirini Bunge lianze...

1 comment:

Anonymous said...

hahaha najua lazima ufurahi maana kakutengenezea njia ya kufika kule kwa Kinyaiya-a.k.a msituni

Website counter