Wednesday, October 27, 2010

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yaaap hapa nikiwa na Swahiba zangu ambao ni wachezaji wa Timu ya wazee wa Jangwani YANGA, kushoto kwangu ni Mshambuliaji hatari na msumbufu wa timu hiyo NSA JOB na kulia kwangu ni Beki maarufu wa timu hiyo na timu ya Taifa Taifa Starz NADIR HAROUB aka 'Canavarro'

Na hapa nikiwa na 'Patner' wangu MAIMARTHA na Producer NICK MARWA tukipoouuzz...

Nikipata picha ya pamoja na wadogo zangu kina MUKALAY, DAVID IGNAS, ISMAEL SOTTA NA KISANKO'S FAMILLY...

Daah hawa mapacha bwanaa aaah...

No comments:

Website counter