Wednesday, October 27, 2010

POMBE SI JUICE JAMA...


Amini usiamini wapo watu wa aina hii wanaokunywa pombe zaidi ya huyu na wakafanya vioja zaidi ya huyu! Yaani ukishafikia kiwango hiki ndugu yangu umekwishaaa...

1 comment:

Anonymous said...

HAHAHAHAHAHAHAHAHA JAMANI POMBE POMBE UKIZIDISHA INAKUWA NOMA!!!!

Website counter