Thursday, September 9, 2010


Wanamuziki wa FM ACADEMIA ambao wanazindua Album yao iitwayo VUTA NIKUVUTE siku ya Idd mosi wakimwaga swaga zao kwenye kipindi changu cha Live jumamosi iliyopita katika studio za TBC Mikocheni jijini DAR!

MAIMARTHA akiwa na Mwanamuziki MAUNDA ZORO kwenye kipindi.

BEN KINYAIYA na MAIMARTHA tukirusha mambo LIVE...

FM ACADEMIA wakifanya mambo Hadharani studio...

Nikiwa na Wanamuziki wa FM ACADEMIA nje ya Studio kabla sijawaingiza kwenye kipindi kwa mahojiano...

No comments:

Website counter