Thursday, September 9, 2010

RATIBA NZIMA YA MAZISHI YA RAFIKI YANGU P' DIDDY NI KAMA IFUATAVYO...

Msiba upo kwao pale Kinondoni A manyanya nyuma ya MWANAMBOKA Petrol Station, na mazishi ni kesho Ijumaa saa 10 kamili jioni kwenye makaburi ya Kinondoni ila ratiba nzima inaanza ivi - saa 8:30 watu tunaenda Muhimbili Hosp kutayarisha Mwili. saa 11:30 ni Chakula. saa 12:00 kuingia mwili nyumbani. saa 1:00 ni wasifu wa Marehemu na kuaga mwili nyumbani. saa 3:00 ni ibada ya misa takatifu pale nyumbani. saa 4:00 ni mazishi makaburini. saa 5:00 ni kuweka Mashada na neno la Familia. MWISHO! Kwa wale wenye kuhitaji maelekezo yoyote au wenye nia ya kutoa Mchango wao au chochote kile wasisite kunitaarifu kupitia 0655 705 055.

4 comments:

Anonymous said...

Naomba kwa kuwa umeandika habari yenyewe kwa Kiswahili basi na saa ungeandika ya Kiswahili kwani unaweza kuwachanganya watu

Anonymous said...

Naomba nikuulize kidogo maana hii sura inafanana na mtu niliyefahamiana naye miaka mingi ya nyuma, je alishawahi kusoma shule ya msingi kinondoni? Mama yake alikwua mwalimu? alijulikana kama Paff? anatokea upande wa ziwa Magharibi? nilipoteza contact na anayefanana naye sana kwa mda wa zaidi ya miaka 20 kwa sababu kwa sasa siko bongo. Nijibu haraka tafadhali.

Anonymous said...

Samahani Uncle Ben.
Pole sana kwa msiba wa swahiba wako. Ila ni nini chanzo cha kifo chake. maana kila nilikoona taarifa za msiba huo sijaona chanzo cha mauti. Aliugua au ilikuwa ghafla. Nini hasa chanzo cha msiba maana pia nimeona pale mnatoa mwili wa marehemu kwenye DEFENDER YA POLICE. ????!!!!. Usitupe kapuni email yangu tafadhali.

Anonymous said...

..huna lolote, hizo picha za msiba zikowapi.. mfyonzoooooooooooo

Website counter