tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post1809491892000140639..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: RATIBA NZIMA YA MAZISHI YA RAFIKI YANGU P' DIDDY NI KAMA IFUATAVYO...KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-60244548564056849382010-09-14T09:00:10.663+03:002010-09-14T09:00:10.663+03:00..huna lolote, hizo picha za msiba zikowapi.. mfyo.....huna lolote, hizo picha za msiba zikowapi.. mfyonzooooooooooooAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-62110592081664750932010-09-13T17:01:19.268+03:002010-09-13T17:01:19.268+03:00Samahani Uncle Ben.
Pole sana kwa msiba wa swahiba...Samahani Uncle Ben.<br />Pole sana kwa msiba wa swahiba wako. Ila ni nini chanzo cha kifo chake. maana kila nilikoona taarifa za msiba huo sijaona chanzo cha mauti. Aliugua au ilikuwa ghafla. Nini hasa chanzo cha msiba maana pia nimeona pale mnatoa mwili wa marehemu kwenye DEFENDER YA POLICE. ????!!!!. Usitupe kapuni email yangu tafadhali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-51881321488534653432010-09-13T02:20:25.038+03:002010-09-13T02:20:25.038+03:00Naomba nikuulize kidogo maana hii sura inafanana n...Naomba nikuulize kidogo maana hii sura inafanana na mtu niliyefahamiana naye miaka mingi ya nyuma, je alishawahi kusoma shule ya msingi kinondoni? Mama yake alikwua mwalimu? alijulikana kama Paff? anatokea upande wa ziwa Magharibi? nilipoteza contact na anayefanana naye sana kwa mda wa zaidi ya miaka 20 kwa sababu kwa sasa siko bongo. Nijibu haraka tafadhali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-58054391284861383912010-09-09T17:06:31.963+03:002010-09-09T17:06:31.963+03:00Naomba kwa kuwa umeandika habari yenyewe kwa Kiswa...Naomba kwa kuwa umeandika habari yenyewe kwa Kiswahili basi na saa ungeandika ya Kiswahili kwani unaweza kuwachanganya watuAnonymousnoreply@blogger.com