Sunday, June 20, 2010


Yaani MZALENDO ya jana ilikuwa full nyomi na wa2 walikula ngoma mpaka monie....

Nikiwa na mtaalamu wa kushusha mangoma DJ MAKAY anayepiga mzigo na East Africa Radio ya jijini Dar...

Nikiwa na mmoja wa wakongwe wa Bongo Flava nchini Alslem NGAIZA aka SOGGY DOGGY tukila pouuzz...



No comments:

Website counter