Saturday, June 19, 2010

MAKAMUZI YA TWANGA PEPETA JANA USIKU YALIVYOKUWA...

Kiongozi wa Bendi ya TWANGA PEPETA LUIZA MBUTU 'mama wa shoka' akiwaongoza kwenye makamuzi wanamuziki wake SALEH KUPAZA kushoto, SHAKASHIA 'flana nyeupe' na Rapa FERGUSON kulia...

GILBUT LIPUMBA akishoo love na watotoz kwenye onesho la Bendi ya TWANGA PEPETA jana usiku...

Ni kicheko huku tukifurahia masebene ya Twanga na Mwigizaji wa Filamu SHUMILETA kushoto na SALMA kulia...

No comments:

Website counter