Sunday, June 13, 2010


Wanenguaji mahiri wa kundi la KHANGA MOJA wakipagawisha watu kwa nyonga zao kali jukwaani, yaani hawa mabinti ni hatarii sanaa looh...

Hao ndio KHANGA MOJA bwana, hawana maskhara kabisaa kwenye masuala ya nyonga tepetepe duuh...

Siku iyo Mango Garden iliwaka moto wallah...

MZEE YUSSUF na kundi lake la JAHAZI nao walipagawisha watu kwa vibao vyao matata na tungo tete...

Nae ALLY CHOKI na bendi yake ya EXTRA BONGO walimwaga sebene la nguvu sikuiyo looh...

No comments:

Website counter