Sunday, June 13, 2010

SIKU KINYAIYAS ENTERTAINMENT ILIPOANDAA TAMASHA LILILOWAKUTANISHA JAHAZI TAARAB, EXTRA BONGO, BANZA STONE NA WANENGUAJI MAHIRI WA KHANGA MOJA!


Wanenguaji mahiri wa KHANGA MOJA walifanya vitu vya uhakika na kila m2 ukumbini hakuamini alichokiona...

Nikiwa na mtaalmu SIDE JANGUO tukifuatilia kwa ukaribu mpango mzima wa Concert hiyo ndani ya ukumbi wa MANGO GARDEN kinondoni...

Nikiwa na wadau wa burudani jijini, kushoto ni MOMBA na kulia ni mtaalamu MUHAMAD MWAULANGA 'bill gate'

Rafiki yangu ANDREW CHIDUO alietoka HOLLAND kuja kunitembelea alipagawa sana na mambo aliyoyaona...

Andrew Chiduo akishow malovee na mamaa, hongereni sanaa na asanteni kwa kuja....

No comments:

Website counter