Sunday, June 13, 2010

La General BANZA STONE nae alikuwepo kuwasha moto stejini na kwakweli alifunika sana coz aliimba mpaka ule wimbo wake mpya wa taarabu utadhani Issa Matona duuh...

Wanenguaji mahiri wa EXTRA BONGO wakimwaga mauno ya kupagawisha siku ya TAMASHA ilo lililowakutanisha JAHAZI MODERN TAARAB, EXTRA BONGO, BANZA STONE na kundi maarufu la unenguaji jijini Dar KANGA MOJA lililoandaliwa na KINYAIYA ENTERTAINMENT alhamic iliyopita ndani ya ukumbi wa MANGO GARDEN kinondoni, ilikuwa balaaa...
Wanenguaji wa EXTRA BONGO ya camarade ALLY CHOKI wakiwajibika jukwaani siku ya TAMASHA ilo...

Wapiga vyombo wa Extra Bongo nao hawakua nyuma kumwaga masebene ya nguvu yaliowapagawisha watu siku iyo...

No comments:

Website counter