
Kwangu mimi alikuwa mwanamuziki niliyempenda sana, haswa ka vibao vyake vingi vilivyoitingisha Africa nzima na Dunian kama vile BANE na IKOLE ambao mpaka sasa naupenda sana na nitaendelea kuupenda! Anatokea nchina Gabon kwa aliekuwa rais mfupi kuliko wote barani Africa marehemu OMARY BONGO ONDIMA, na kwa hakika Africa nzima na kwa wapenzi wa Muziki wa kiafica wataendelea kumkumbuka huyu bwana kwa mchango wake ktk muziki na kuielimisha jamii, Asante Oliver na Mungu akulaze mahali pema peponi, daima tutakukumbuka!
No comments:
Post a Comment