Saturday, June 12, 2010

MISELE YANGU MTAANI...


Nikicheza na Mbwa wangu mkali aitwae Rock, hii mbegu yake niitoa jeshini kwa msaada wa Uncle wangu flani ivi...

Huyu nae vipii....

Wallah huyu mchina anchora balaa, yaani alinitoa copy kama nilivyo duuuh...

Nikipozi na rafiki yangu kiungo nguli wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports MOHAMED BANKA nje ya KINYAIYAS PUB kinondoni jana...

Nikiwa na MUDDY BANKA wa Simba Sports...

No comments:

Website counter