www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Saturday, June 12, 2010
HARUSI YA WIKI ILIYOTIA FORA...
Harusi hii iliyofana ilifanyika juzi kule Kasulu Kighoma na ilihudhuriwa na watu wengi bila kutegemea na watu walikula na kunywa mpaka majogoo, nawapa Hongera sanaa...
3 comments:
Anonymous
said...
Aiiiiiii jamani ben mbn una roho mbaya ivo????? ungenambia na mie nende simamia walaghi lol
Hao watakuwa wapuuzi. hapa watu walienda kula na sio kuangalia wanaharusi, hawalipi hata kidogo. Beny unatisha sijui umeipataje hii mzee. nimekuogopa mtu wangu. Hawa siyo wa sayari hii sijui watakuwa wametoka pluto au nini
ben muongo wewe eti harusi hii ilifanyika juzi dah !!habari tulisha iona mwezi mingi imepita ktk blog ya RAY ,yani nyie mnatumia picha moja habari tofauti.ila ni poa bwana ilimladi tusikose cha kusoma japo mengine sio kweli

kazi nzuri my bro
Post a Comment