Monday, June 21, 2010


Rapa wa DIAMOND MUSICA aitwae JUICE YA MACHUNGWA katikati akiwaongoza waimbaji wengine kumwaga mauno yaliowapagawisha watu stejini jana...
Wacheza shoo wa bendi hiyo walitia fora jana kwa shoobize yao iliyokwenda shule, kwa hakika ilikuwa burudani tosha jana usiku...

Wee weee mambo iko huku...



No comments:

Website counter