Monday, June 21, 2010

CAMERA YANGU WIKI HII....



Huu ndio usafiri kafiri, hii ilitokea juzi uko Ifakara Morogoro wkt jamaa alipoamua kubeba kitoweo chake kama mwanae mgongoni mwake! Kwa hakika jamaa kaonyesha mapenzi makubwa kwa mnyama wake, je wewe unaweza kufanya ivyo....

Huyu ni Fun wangu mkubwa aitwae KELVIN na ameamua kunitumia picha yake kunionyesha kwamba ananikubali kwa kazi zangu na kwa kumuheshimu nimeamua kumweka kwenye Blog yangu hii ya Burudani na kumwambia ASANTE SANA KELVIN, tuko pamoja...

1 comment:

Anonymous said...

Kaka hongera sana kwa kutublogishaaa, ila camera yako naona kama ina picha za enzi sana, maana hiyo picha ya mbuzi kabebwa mgongoni ipo tangu 2006, na haikupigiwa moro kama usemavyo,

Jitahidi kutupa vitu vyamotooo vilivyo up to date, vikiambatana na taarifa za ukweli. Ni hayo tu,

Your Mdau
kj

Website counter