Saturday, June 12, 2010

NILIPOWATEMBELEA WAZEE WA NGWASUMA FM ACADEMIA...


Hapa nikiwa na wakongwe wa bendi hiyo, King Blaise kushoto na Rais wa Bendi iyo Nyosh El Saadat au baba Stallone...

Nikipata picha ya pamoja na wanenguaji mahiri wa bendi ya FM ACADEMIA wakiwa backstage...

Waimbaji wa FM ACADEMIA wakimwaga mauno wa kupagawisha stejini, ilikuwa balaaa....

Kiongozi wa wanenguaji wa kike wa bendi iyo Aaaliya kulia, akiwaongoza wenzake kumwaga radhi stejini...

No comments:

Website counter