Friday, June 11, 2010

NILIPOWABAMBA KUNDI LA MAKHIRIKHIRI KUTOKA BOTSWANA...

Nikiwa na wasanii wa kundi la Makhirikhiri kutoka Botswana waliokuja nchini kwa maonesho kadhaa

Hapa wakipanda kutambulishwa jukwaani tayari kwa makamuzi, yaani hawa jamaa wanatisha sanaa duuh hawachoki jukwaaani...
Weeweeeee washkaji wakimwaga mauno ya hatariiiii, ilikuwa balaaaa...

Kiongozi wa kundi ilo la Makhirikhiri kutoka Botswana aitwae Shengho akionesha ufundi wake uliowaduwaza watu wengi siku iyo....

No comments:

Website counter