Saturday, June 12, 2010

FM ACADEMI WATAMBULISHA STAILI MPYA YA KUCHEZA IITWAYO PIKIPIKI...


Waimbaji nyota wa FM ACADEMIA wakiongozwa na Pablo Masai katikati, wakicheza Staili mpya ya PIKIPIKI walioitambulisha hivi karibuni, ni hatariii...

Wanenguaji wa FM wakicheza staili mpya ya PIKIPIKI...

Rais wa bendi ya FM ACADEMI Nyoshi El Saadat wakiwaongoza wanenguaji wake kucheza staili mpaya ya Bendi hiyo iitwayo PIKIPIKI...

Nikiwa na mzee wa ndefuuuu Focus Mauki tukifuatilia staili yao ya PIKIPIKI...

No comments:

Website counter