Wednesday, June 23, 2010

CAMERA YANGU MTAANI...


Hapa niliwabamba rafiki zangu kuanzia kushoto ni mpiga Tumba maarufu wa bendi ya Twanga Pepeta MCD, akifuatiwa na mshambuliaji hatari wa timu ya SIMBA na Taifa starz MUSA HASSAN 'MGOSI', totozz n mie mwenyewe...

Nikiwa na wadogo zangu akiwemo chipukizi wa Bongo Flava anaekuja juu DIAMOND, kulia kwangu.

Nikiwa na wanenguaji wa Twanga Pepeta kina AISHA MADINDA na wenzake walipokuja kunitembelea KINYAIYA'S PUB iliyoko nyuma ya Mango Garden Kinondon jana...

Hapa nilimfuma mwimbaji hodari wa Twanga Pepeta aitwae CHALZ BABA akifanya mpango wa kuapata japo Chips Vumbi ili apoze REJETA YAKE...

2 comments:

Anonymous said...

Big Ben!
Hongera kwa kuwa na blog makini yenye utulivu. Ila kidooogo rangi inatusumbua waweza kubadili muonekano wake kwa faida yetu wote?? vinginevyo unafanya kazi nzuri sana.

Anonymous said...

Kinyaiya
nampenda sana AISHA Madinda toka moyoni pamoja namapungufu yake. Anaweza kurekebishika akawa mwanamke wa ukweli. Naomba contac yake kama anajua kutumia email naomba pia kama hutajali. Tuma kwenye kababaye@yahoo.co.uk

Website counter