
Yaap naamini wadau na wapenzi woote wa Filamu za Bongo wataburudika sana siku watakapoiona Filamu yetu hii iitwayo 'ZE SAME GIRL' ambayo tumecheza MIMI, AUNT EZEKIEL ambao ndio 'Mastering', pamoja na kina HUSNA IDD 'SAJENT' na STEVE SANDHU! Ni Movie kali sana ya 'MAPENZI' ambayo ina kisa cha kusisimua sanaaa, na nina unakika 'ITAFUNIKA' saanaaa itakapotoka mwezi ujao! Pichani ni Cameraman mahiri nchini AMAN akiwa ameshaset kilakitu tayari kuanza kushoot 'Scene' izo hapo chini ambazo ni baadhi 2 jamani...
No comments:
Post a Comment