
Pichani kulia ni MFALME MSWATI 111 wa SWAZILAND aliyezaliwa tar 19 april 1968 uko Raleigh nchini SWAZILANDA. Ni mfalme maarufu barani Africa mwenye wake 12 hivi sasa na kila mwaka anaongeza mke mwingine kutoka kwenye 'KONGAMANO' la mabinti kibao 'MABIKRA' kama walioko apo pichani juu wanaowania kuolewa na Mfalme huyu 'FATAKI! Haya kwa wale wanampenda Mfalme huyu ni kwamba leo ndio siku yake ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY MSWATI 111.

No comments:
Post a Comment