
Naaam jana Jumanne mchana tulialikwa kwenye Bonanza la MUUNGANO DAY ndani ya Viwanja vya TABATA SHULE ambako kikosi kizima cha Timu yetu ya wacheza 'FILAMU' ya BONGO MOVIE CLUB tulialikwa kucheza Mechi ya hisani ili kunogesha Bonanza hilo na tulifika kwa muda mwafaka na moja kwa moja tukaanza 'kuosha' macho kwa Burudani ya Dansi kutoka kwa Bendi ya 'EXTRA BONGO' chini yake ALLY CHOKI na kwa hakika Bonanza lilifana saanaaa! Pichani ni MIMI na juu yangu kutoka kushoto ni CLOUD, RAY na kulia ni STEVE NYERERE tukifuatilia burudani hiyo...
No comments:
Post a Comment