www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Tuesday, November 2, 2010
HUU MCHEZO RAHA YAKE UKIWA UNASHINDA, ILA SIKU UKIPIGWA WEWE UTAJUTAAA...
Boxing ni mchezo wenye pesa ila madhara yake ni makubwa na hasa ukipingwa ndio kama ivi unajuta daah, na ndio maana 'Maza' angu haupendagi kabsaa mchezo huu...
No comments:
Post a Comment