
Yaaap hapa nikiwa na rafiki yangu Mkongwe wa Bongo Flava enzi hizo Bwana SOGGY DOG HUNTER ambaye baadae akaja kubadili jina akajiita CHIEF RUMANYIKA! Daah vijana mna mambo nyie, mbona sie wenzenu hatuna 'aka' na tunadunda na majina yetu ya kuzaliwa jamani...

Nikiwa na mamaa ESHA MASHAUZI, mwimbaji El maarufu wa 'TWAARABU' wa kundi la Jahazi la Mzee Yusuph! Huyu bibie wiki moja iliyopita aligombana na mumewe na kuambulia kipigo 'kitakatifu' mpaka akalazwa Hospital na yeye kwa hasira baada ya kuumizwa vibaya akavunja vioo vyoote vya gari ya Mumewe ila kilichonisikitisha zaidi ni kwamba Bibbie huyu tayari kashapewa 'talaka' na huyo aliyekuwa Mumewe Duuh ila we MZEE YUSUPH ebu mrudishe kundini bwana weee na kama hana nidhani kama unavyosema si 'unamkanya' kwa mara ya mwisho swahiba maana mashabiki wana 'KIU' nae atiii...
1 comment:
mh mambo ya wek endo hayo mamaa jameel!upo poaaa na huo mkojo wa firauni si oshitazi hatibu kataza sisiii ha haaaaaah rah a jipe mwenyeweeeeeeeeee
Post a Comment