Friday, October 8, 2010

JAMANI EEH, KUULIZA SIO UJINGA...


Jamani nilishawahi kusikia sehemu mbalimbali kwamba ukinyanyua sana Vyumba na kufikia kiwango cha huyu jamaa na zaidi basi lazma utapata madhara baadae maana mpaka kufikia kiwango cha huyo jamaa kwenye picha lazma utumie vidonge au Unga uchanganyie kwenye kinywaji au chakula na alafu hata 'Game' lako kitandani linakuwa 'Duni' na mwishowe unakuwa sio 'rizki' usipojiangalia, sasa wataalamu wenye kujua zaidi ebu tuambieni je kuna ukweli wowote kwa hayo yasemwayo au...

No comments:

Website counter