Friday, October 1, 2010


Hapa nikiwakaribisha kwenye Kipindi 'Live' wanamuziki na wanenguaji wa kundi zima la MASHUJAA MUSICA BAND ambap leo ijumaa usiku wanapiga CONCERT kali ya kufa Ngamia na Mwanamuziki nguli wa Congo FERRE GOLLA ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Hall pale Upanga jijini Dar...

Nikiwahoji mmoja mmoja ili watazamaji waweze kuwafahamu vizuri zaidi, ilikuwa hatari sanaaa....

Hapa nikiongea na Kiongozi wa Bendi ya MASHUJAA MUSICA aitwae JADO FID FORCE ambaye ameahidi kuwaongoza wenzake kufanya Shoo ya kumfunika FERRE GOLLA leo ijumaa pale Diamond...

MASHUJAA MUSICA waki perform 'Live' kwenye kipindi changu cha wiki iliyopita...

Hapa ni mwendo wa kuondoka ndani ya Studio baadaya kumaliza ratiba yao, jamaa ni wakali sanaaa ukiwashuhudia live...

1 comment:

Anonymous said...

mmmh ben umebadili nguo katikat ya kpnd? kwani hiko kipind ni dk ngap hasa mpaka uone inafaa kubadil? au unafanya kitu gan kikubwaaaa mpaka useme sasa nimetoka jasho sasa hi nguo inaninukia au inaniwasha? c ungebadili na surual bac? na viatu ikibd.. mmmh kwaher mie napita tu

Website counter