Wednesday, September 8, 2010

SIKU MTU MREFU NA MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI WALIPOKUTANA LIIVEEE....


Ilikuwa ni siku ya furaha baada ya mtu mrefu kuliko wote Duniani Mr BAO XISHUN kutoka Chifeng MONGOLIA alipokutana na mtu mfupi kuliko wote Duniani Mr PING PING siku ya Harusi ya kitamaduni ya Bwana BAO!

No comments:

Website counter