Friday, September 3, 2010

NAJIULIZA KWANINI UFUNDI WA KUPIKA VYAKULA HUONEKANA ZAIDI MWEZI HUU MTUKUFU NA SIO SIKU ZINGINE?...


Wapenzi na wataalamu wa maakuli naombeni jibu mwafaka wa ilo swali apo juu jamani...

1 comment:

Anonymous said...

Ben, kwanza nikwambie kitu, mwezi wa ramadhan unajua kula ni lazima.. vinginezo unaweza ukarest in piece.. sasa linapokuja swala la njaa utatamani kupika kila kitu kadri taste buds zako zinavyokushauri, matokeo yake unaweza kuwa mbunifu hata wa kupika pilau ya pweza... yote ni kuwa kula ni lazima hasa katika mfungo.

Website counter