Nikiwa na Swaiba wangu MAIMARTHA muda mchache kabla hatujaingia Studio kuendesha kipindi...
Nikiwa na mwigizaji HEMED SULEIMAN ambaye nilimwalika kwenye kipindi changu cha siku hiyo....
Tukiwa na Mwanamuziki MAUNDA ZORO ambaye tulimwalika Studio siku iyo...
2 comments:
Nilikiangalia hiki kipindi japo si chote. Moyoni nilimwona Mai kama alikuwa dull na hata nguo zilikuwa black hata hairstyle haikuwa poa sana. Jamani mungu ana siri juu uhai na vifo vyetu. huenda Mai bila kujua alishaanza kupatwa na unyong'ong'o wa kufiwa. mmh.. Poleni jamani
@1st comment;ni kweli ulichosema coz hata me nilimshangaa my cku hiyo ila nilihic ni changez tu ktk swagger zake,daah mungu ndio maana haja2ambia tu cku ze2 za kufa nahic pacngekalika.....,poleni sana Ben & Mai......R.I.P DIDDY!!ONE
Post a Comment