Ligi za wenzetu sio lelemama, hii ni picha inayoonyesha refa akikabwa na mchezaji duuh! JOSE PEDROSO wa timu ya RANGERS ya nchini CHILE anatuhumiwa kumkaba refa wa pambano kati yao na timu ya DEPORTES CONCEPCION ambayo walibuguzwa bao 3 kwa bila kwa kumtuhumu ya kuwapendelea wapinzani wao! Ivi sasa shirikisho la soka la Chile liko mbioni kumfungia mwanasoka huyo maarufu nchini humo looh...
No comments:
Post a Comment