Friday, July 2, 2010

USAFIRI KAFIRI JIJINI DAR...


Haya mambo nayashuhudia sana tena kwa macho yangu yakifanyika, na kama unabisha waulize wakazi wa maeneo ya MBAGALA jijini Dar watakwambia adha ya usafiri wanayoipata inayowafanya wabuni mbinu mbalimbali za kuzama mapema kwenye basi kabla halijajaa maana mabasi yenyewe yako machache na abiriwa wako wengi hasa nyakati za asubuhi na jioni looh...

Lazma uwe kama Jackie Chan ndio mambo yatakuwa shwari na ubitozi unauweka pembeni linapokuja swala la kuwahi garini...

No comments:

Website counter