Dk ALLY MOHAMED SHEIN jana aliibuka Kidedea katika kipute cha kumchagua Mgombea Urais wa ZENJ kwa tiketi ya CCM baada ya kuywabwaga kwa kishindo wagombea wenzie Dk GHALIB BILAL na SHAMSI VUAI NAHODHA, na sasa atapambana vikali na Mgombea mkongwe wa CUF bwana SEIF SHARRIF HAMAD kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
No comments:
Post a Comment