Msanii na mwandaaji maarufu wa vipindi vya TV nchini Marekani OPRAH WINFREY bado anawakimbiza mademu waigizaji na wanamuziki kwa umaarufu na kipato kwa mwaka huu, jarida maarufu duniani la VOGUE limeripoti juzi. Waigizaji na wasanii wengine wa kike wanaomkimbiza gwiji huyo wa Utangazaji walio katika 5 bora ni mcheza Filamu maarufu wa kike ANGELINA JOLIE, mwanamuziki BEYONCE na mwimbaji maarufu mwenye vituko Duniani LADY GAGA!
No comments:
Post a Comment