Tuesday, July 13, 2010

OOOH MARA ANAUMWA HATAKUJA, SI HUYO KATIA TIMU UWANJANI...


Kwakweli nilifurahi saana jana kumuona MANDELA akiwa na uso wa furaha kama hivi akishuhudia Fainali nzuri kutokea za kombe la Dunia zikimalizika kwa amani na utulivu nchini mwake Africa ya Kusini, Bravo MADIBA...

No comments:

Website counter