Sunday, July 18, 2010

MTANANGE WA BIG BROTHER KUANZA TENA LEO USIKU...


Lile shindano maarufu barani Africa liitwalo Big brother, sasa linakuja kivingine kwa kujulikana kama 'BIG BROTHER ALL STARS' wakimaanisha kwamba wale washiriki woote waliowahi kushiriki shindani hilo leo usiku huu watachaguliwa washiriki 14 kutoka nchi tofauti barani Africa ili waingie tena mjengoni, sasa je kwetu sisi Tanzania ni mshiriki gani atarudi tena mjengoni? Ila kwa maoni yangu mimi kama BEN ningependa swahiba wangu MWISHO MWAMPAMBA 'pichani' arudi tena mjengoni kutokana na upepo mbaya na visanga kibao vilivyomkumba na kumfanya apoteze mwelekeo wa maisha yake so pengine akipata nafasi iyo tena anaweza akajipanga upya jamani! Hayo ni maoni yangu 2 kwaiyo tusubiri kuona usiku huu mambo yatakavyokuwa...

No comments:

Website counter