Huyu ni mwanamama LEE REDMOND wa Marekani ndie ambaye inasemekana ana KUCHA ndefu kuliko m2 yoyote Duniani kwasasa! Alianza kuzifuga tangu mwaka 1979 na mpaka leo hajazikata na anaendelea kuzipa matunzo ya hali ya juu ili zisije kudhoofika na kukatika, sasa kama unadhani una kucha ndefu kumzidi Mama huyu tuabarishe apa kinyaiyas blog ili tukutambue na zawadi nono ya kupelekwa Holiday sehemu yoyote kwa siku 3 itatolewa...
No comments:
Post a Comment