Huyu ni mwanamke aitwae KIM GOODMAN, raia wa MAREKANI ambaye inasemekana ana macho makubwa kuliko Binadamu yoyote kwasasa! Sasa nawauliza kama kuna mwenye macho makubwa kumzidi huyu dada basi ajitokeze kupitia apa KINYAIYA'S BLOG tumuone na zawadi nono itatolewa...
1 comment:
ukimuona mwenyewe wala hana mijicho kama hiyo, hayo kayatoa 2,,hata wewe ukitaka kuhakikisha mtazame kwenye guiness of the word utamuona,
Post a Comment