Unamkumbuka VASCO DA GAMA?, Mreno aliyeingia mkoani TANGA 1498? Sasa kwa taarifa yako uyu bwana alikuwa mlaji mzuri sanaaa wa MACHUNGWA ya Tanga na kwa mdomo wake alitamka kwamba eti Machungwa ya Tanga yalikuwa ni bora Duniani kati ya machungwa yoote aliyokula duniani kwa utamu asilia! Sasa kama unabisha nenda Tanga kaulizie kwa wale watu wa Makumbusho kule Amboni watakueleza yoote ninayokwambia mimi apa Bloguni kudadeki...
No comments:
Post a Comment